TANZANIA: Muziki ya Darassa Yatungiwa Mtihani Chuoni -Video

Mhadhiri katika chuo cha ustawi wa jamii anayefundisha shahada ya masuala hayo, aliamua kutunga swali la aina yake kwa kuhusisha misemo maarufu kwenye wimbo wa Darassa, Acha Maneno, Weka Muziki. Sikiliza nimekusimulia hapo chini.

Source: bongo5.com

Leave your comment

Other news